WANAHARAKATI WA ANTI LGBTQ WAFANYA MAANDAMANO KUPINGA MVITA CLINIQ

Wanaharakati wa Anti LGBTQ wameweza kuendeleza maandamano yao katika hospitali ndogo ya mvita clinic hapo jana kupinga kutolewa kwa huduma za kina mama wajawazito na kuendeleza huduma za kuwatibu watu wenye jinsia moja katika hospitali hiyo.

Akizungumza na wanahabari mwenyekiti wa vuguvugu hilo Salim Karama amesema kuwa Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswammad shariff Nasir   aliwaahidi kurudisha shughuli za kliniki hiyo alipowaita  kwenye  kikao ofisini kwake.

Aidha Ameongezea kwa kusema kuwa wataendeleza maandamano yao  hadi pale agizo la gavana   la kurudisha maternity ya kina mama litatekelezwa.

Comments

Popular posts from this blog

Premier Hospital’s Lenah Wangari Karuga Crowned Kenya’s Best Nurse Midwife at NMOYA Awards

SIMBA APPAREL EPZ UNVEILS NEW PRODUCTION FACILITY IN MOMBASA

ABE International Hosts Inaugural Student Entrepreneurship Summit in Mombasa"